Thursday, July 14, 2016

Picha:Christian Ronaldo na mamake

Thursday, July 14, 2016


Christian Ronaldo ambaye bado yuko mapumzikoni huko Ibiza na familia yake alionekana akipakwa mafuta miguuni na mamake.

Christian bado anauguza jeraha alilopata hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment